Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1505643781230.jpg
 
Konokono yupi Carba? Konokono ambaye ni konokono au konokono "konokono"?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni konokono "konokono" tushtuane mkuu [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
We Yego wewe....I am humbled you know (In Le Mutuz' voice) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Napenda kusoma sana and I am fascinated with languages. Nimejifunza funza lugha kadhaa on my own just out of curiosity. Kiswahili ni mojawapo ya lugha safi sana kuanzia unyambulikaji wake, utajiri wa taswira, leksikoni na jinsi unavyoweza kucheza nayo kwa kuigeuza geuza unavyotaka! Ndiyo maana napenda mno vitabu vya Shaaban Robert hasa Wasifu wa Binti Saad. Kakitabu kale huwa nakasoma karibu kila mwezi kwa sababu lugha iliyotumika mle ni mojawapo ya lugha ya hali ya juu kabisa....

Kitambulisho changu kingine hapa JF ni kipi? We Andaeitiini wewe. Chunga sana !!!

Hahaa, we bana! You can run but you can't hide! Pamoja na hayo, wewe ni mwandishi mzuri! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
We ndugu, hujambo? Msalimie nsamaka! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
Kwani salamu ingeishia kwenye "hujambo?" ungepungukiwa? Unapenda kuniongelea ya kunichoma choma sana. Wewe umesema umeokoka, niokoe na mimi kwenye hayo mateso ya kubomolewa mazizi[emoji120] [emoji120] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom