Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Asante....Hahaa, we bana! You can run but you can't hide! Pamoja na hayo, wewe ni mwandishi mzuri! [emoji23][emoji23][emoji23]
Eimeeniiii[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani sasa hivi napiga sala tu! Mambo ya mazizi nimeachana nayo, nuru ya ufunuo imeniangazia. Eimeni! [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] carba ukuje tengua kauli huku watu wanagombania konokonoUmeulizwa wewe? Usijipe hatimiliki puliziii. Sote tunamtaka huyo "konokono" ohoooo !!!
MkanyageniGood morning UNGUJA
Asante....
Nitakucheki kwako. Ufunguo uliopoteza ushapatikana?
Likes kwa kila postGonga likes kwa roho moja
Hii kali!!! Mbomoa mazizi anaombwa na mbomolewa mazizi kumwokoa mbomolewa mazizi ili mazizi yake yasiendelee kubomolewa na mbomoa mazizi anayemwombea mbomolewa mazizi !!!Kwani salamu ingeishia kwenye "hujambo?" ungepungukiwa? Unapenda kuniongelea ya kunichoma choma sana. Wewe umesema umeokoka, niokoe na mimi kwenye hayo mateso ya kubomolewa mazizi[emoji120] [emoji120] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Gonga kwa kila postGonga likes bila upendeleo