Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
YouTube
38:39
Supreme Court Judge, Jackton Ojwang' outlines his dissenting verdict [Part 2]
KTN News Kenya 80 views
Aisee! Inaonekana uko siriazi. Haya kale "konokono" wako salama. Itafurahisha sana ukileta kamrejesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee mzee usiniharibie supu yangu, angalia sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo unaungana nako kubomoa zizi lako mwenyewe? Siaminiiiii !!!Ukiona unamshindwa adui bora umchekee tu. Ka Yego ni katata sana, bora niungane nako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo sasa Consuela na Alibakari wakiwa wamepata cha Arusha [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio cha Arusha tu hadi cha Jamaica......huku kwema.....sijui wewe u hali gani?Hapo sasa Consuela na Alibakari wakiwa wamepata cha Arusha [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema?
Kwema sana. Alfonso wako kapotea hapa karibu wiki sasa. Mwambie arudi. Tunamisi Kiarabu na misemo yake mingi pamoja na uchangamfu wake !!![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio cha Arusha tu hadi cha Jamaica......huku kwema.....sijui wewe u hali gani?