Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwani salamu ingeishia kwenye "hujambo?" ungepungukiwa? Unapenda kuniongelea ya kunichoma choma sana. Wewe umesema umeokoka, niokoe na mimi kwenye hayo mateso ya kubomolewa mazizi[emoji120] [emoji120] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii kali!!! Mbomoa mazizi anaombwa na mbomolewa mazizi kumwokoa mbomolewa mazizi ili mazizi yake yasiendelee kubomolewa na mbomoa mazizi anayemwombea mbomolewa mazizi !!!
 
22bb1928c0d2fb1086426d6007ad0180.jpg
. Usiku unaingia
 
Umeulizwa wewe? Usijipe hatimiliki puliziii. Sote tunamtaka huyo "konokono" ohoooo !!!
Wee mzee usiniharibie supu yangu, angalia sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikuletee konokono?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unamaanisha anaefanana na konokono? Tunakulagaaaa...

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee kiona mbali wewe

Konokono yupi Carba? Konokono ambaye ni konokono au konokono "konokono"?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama ni konokono "konokono" tushtuane mkuu [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️

Sikuwa na maana hiyoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Jamani [emoji134] [emoji134] [emoji134]nimeulizwa mimi kama nipo radhi kumla huyo konokono aniletee....
 
Hii kali!!! Mbomoa mazizi anaombwa na mbomolewa mazizi kumwokoa mbomolewa mazizi ili mazizi yake yasiendelee kubomolewa na mbomoa mazizi anayemwombea mbomolewa mazizi !!!
Ukiona unamshindwa adui bora umchekee tu. Ka Yego ni katata sana, bora niungane nako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom