Nimeshtukaaa... Haya katibu endelea...
hahahahahAlikuwa akipiga shuti golini ni kama amerusha mkuki[emoji3] [emoji3] magolkipa walikuwa wanakwepa[emoji3] [emoji3]
mtu huyu
anapiga shuti akiwa kibamba na linafika kariakoo kwa spidi kubwaRoberto Carlos.
Ile Mtu shughuli sana.
Halafu nguvu za Miguu anazo
kazi kazi
You can choose a friend but you can not choose who you related toMore than 90 percent of people are no longer friends with someone that they once called their best friend.
Kombe la dunia 2002 alimdhibiti Beckam kisawasawa
kipindi hicho brazil ni tishio