mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
AMUN RAAMUN RA
Usaili tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mimi sina shaka
ukifuzu usahili booking yako itakubaliwa vizuri tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hana lolote huyo
kama kuwatia watu vibuyu a.k.a mabusha ndo hekima basi ana hekima nyingi sana
Mtu mmoja asiyejulikana ameonekana mahali pasipojulikana huuko......
Kumbe Kinyonga {ki-hip} ndio mwanzilishi wa kurembua macho?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]SIFA ZA KIPEKEE ZA KINYONGA.
1. Hubadiri rangi kutokana na mazingira
Sababu kuu ya kufanya hivyo ni kujikinga na maadui asionekane kwa urahisi, maana uwezo wake katika mapambano ni Mdogo.
2. Huweza kuelekeza macho yake sehemu tofauti.
Kinyonga ana uwezo jicho lake moja kutizama vitu vya mbele na jicho lake la pili akatizama nyuma na yote yakifika katika ubongo yakachambuliwa.
3.ulimi wake ni mrefu kuliko mwili wake wote.
Hivyo silaha yake kubwa wakati wa mawindo ni ulimi wake ambao huweza kuurusha mbali pindi atafutapo chakula chake.
Chama kubwa sana
Tupo mkuuWatu msiojulikana mliopo kusikojulikani jitokezeni...
Kocha aliyepita akiwa kwenye zama za uchezaji wake Jose Erinque
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtu mmoja asiyejulikana ameonekana mahali pasipojulikana huuko......
Japan na Korea walifanya mambo hatariWachawi wawili wa kibrazil, kushoto Original Ronald na kulia ni Robert Carlos. Hawa watu hawa....kumbuka tu mwaka 2002 Japan & South Korea
Mpira ulikuwa unawafuata wao vipaji vya asiliMzee wenger sidhani kama atapata vijana kama hawa tena,ukiachana na mafunzo ya mwalimu walikua wanatumia jitihada binafsi kutafuta point 3
Muda wa kuondoka umefikaAkiamua kwenda chimbo anaweza kupata wazuri zaidi ya hao, ila Wenger anaonekana Kama amechoka kiakili
Yap baada ya hapo Brazil imekuwa uchochoro tuna unapata ladha halisi ya timu ya Brazil
hiki ndicho kilichokua kizazi bora cha mwisho cha Brazil
Well said bro natamani Siku moja Gerrard arudi liver akiwa kocha najua atapata mafanikio SanaAngemwita mfungaji bora wa muda wote wa Asenal Thiery Henry amuachie mikoba, nadhani heshima yake igekuwa juu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Denda halijawaacha paka salama[emoji3]