Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nilikuja kukucheki tu na kuona kama kale kashua ka Kikerewe na yule Shabab wannabe hawajaleta madhara. Nakusoma. Nakuona. Umependeza....[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]Kalala nadhan au majukumu alikuepo humu kama 2 hrs ago
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afadhaliNakaribia kukata mwaka sijaonja hao viumbe jamani. Mbwembwe za humu zisichukuliwe kama ndiyo uhalisia. Jangwa la Sahara lina unafuu nikilinganishwa nalo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najitolea kukusindikizaHivi punde anatulizwa na posa ya mtoto wake kimya kitaendelea
Ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23] haya na wewe pia
Leo itabidi nimtafute aniambie vizuriSina mchepuko yeye analazimisha tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Namshukuru Mungu kwa kila jambo.Nilikuuliza kule tangu juzi bila majibu mpaka sasa.Shemeji vipi tena? Athari za kufakamia "konokono" zingalipo ama? Kwema lakini? Sikuyo yaendaje? Uko sawa? Ushagonga jibapa tayari ama?
[emoji777] Kubong'oa
[emoji818] Kubong'olewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee mzee kwema?Huruma hii nilikuwa naisubiri kwa miaka mingi leo nimeona mwanga kuipata.
Carba....Jamani[emoji134][emoji134]
Kilichoendelea si kile ulichoscreen shot?halafu sijadanganya nimesema ukweli nusu[emoji125] [emoji125]
Shemejiiiii...Hakuna uafadhali wo wote. Kuna uafadhali gani katika jangwa la Sahara?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afadhali
Asante nashukuru kwa kuniunga mkono hadhima yanguNajitolea kukusindikiza
[emoji6]Ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23] haya na wewe pia