Kwamba ukame wa Kalahari desert kwako ni sawa na kuwekwa Kona bar? Maana hapo wanapika supu ya "konokono" ni hakuna mfano...Welo kamu baki homu buraza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakaribia kukata mwaka sijaonja hao viumbe jamani. Mbwembwe za humu zisichukuliwe kama ndiyo uhalisia. Jangwa la Sahara lina unafuu nikilinganishwa nalo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata usihofu hawana nafasi hao....[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji9] [emoji9]Nilikuja kukucheki tu na kuona kama kale kashua ka Kikerewe na yule Shabab wannabe hawajaleta madhara. Nakusoma. Nakuona. Umependeza....[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
Tuko pamoja mpendwa wangu...Nasema afadhali maana hukutafsiri vingine maana ungenichapa makofi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Am sore shemeji
Sasa jeNakuamini kila day. [emoji6] [emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23]usinifanye nimuiteMaana ujirani ulikuwa unaisha leo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata sijui unaongea nini?Sijui ndo hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata sielewi
Ulituma matunda shemeji? Sikuyapata. Siku hiyo mbona ningepona ghafla?Inamaana hata yale matunda niliyotuma wamekula??[emoji22][emoji22][emoji22]