Utaniambia wikimoja kabla niweke mambo vizuri[emoji6]Basi,geti rede,muda wowote
Una kicheko kizuri, sauti nyembambaa!!! LoolHehehehe aiseee yaan hata kama ni upofu wako umezidi mkuu,wait and watch utaona matokeo yake hakunaga binadamu mwenye kutenda mema bila kutaka malipo. Jamaa anajua kucheza na fursa vizuri mno.
Numbisa alivyo niambia tu,dakika sifuri nimejikuta nipo sokoni Mbezi mwisho.Hutaki zawadi ya matikiti na mbegu za maboga?nimekuwekea kule[emoji6][emoji6]
Nitaomba hizo kumbukumbu kwa refference baadae[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]nimeiona kuleeee nikabaki nachekaHahahah shikamoo tamu.
Uwiii ushaidaka airport hahaha
Ushasahau eehMimi? Saa ngapi?
Hahahah nilijua tu utapita huko[emoji23][emoji23][emoji23]nimeiona kuleeee nikabaki nacheka
I see... Mtoto mashalah..
Sijawahi ona mtu anayekataa hongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa alivyo niambia tu,dakika sifuri nimejikuta nipo sokoni Mbezi mwisho.
Nimenunua kilo tatu...Matikiti yamenichosha(sihongeki),pole[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]nguvu za kiume....thenki yu..
KAZI NZURI NUMBISA..
ENDELEA NA MOYO WA KUTOA DARASA
HahahahahaHarakati zipi? Hizi hizi zisizo na mwisho mzuri?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kudumisha mila zenu.Kabula wangu anakusalimu,anakushauri usitumie dayati,ni matumizi mabaya ya pesa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]