[emoji106] [emoji113] [emoji113]kila mtu ni mjuzi wa aina yake
Ndio hongo gani hiyo kila mtu anaona limzigo nnavyokabidhiwa!!Sijawahi ona mtu anayekataa hongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumuulize wa kibosho atupe majibuKuna ukweli katika hili?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha mwambie kabula asijali kabisa hapa diet ni sawa na urafiki wa trump na mapank
Unaogopa masimango?[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio hongo gani hiyo kila mtu anaona limzigo nnavyokabidhiwa!!
Je wewe unajua kuwapika hao samaki mkibosho wetu?Hapana hata kidogo labda wale wa kisure
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]Wewe unajua kupika samaki? Sato?
Shwari muzee ya liverpoolHabari za mida hii wakuu
Wala sikatai,nipo tayari kugharamiwa...Me najigharamia mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hata ukitaka nikugharamie sio mbaya sema mapema[emoji23][emoji23][emoji23]
Siku inaisha umri unapungua,_muda wa kumcha mola wetu ndiyo huuSiku inayoyoma
17:22. AMUN RA13:06
AMUN RA
SHABASHHHI. Aaaaah !!!!asante kiongozi
Na mipicha picha ya evidensi juu kisa matikiti ya mia tano tano manne[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nayataka mimi hayo???Unaogopa masimango?[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ujue niko serious nilivyokuita?
Looo , si wanawake tena, wanawaka
bila mwizi magereza watapunguzwa..Hata mwizi na mchawi?