carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mmmhh!Kwamba itashika moto halafu ...kuita watu waje wazime wanakuta mazingira ni hayapitiki? Hata sijui ni barabara! Au labda ukute moto sio mwingi kwasababu riakisheni ilikuwa ni ndogo kutokana na usafi wa maeneo ya jikoni,moto ukagoma kuhamia juu..(hata sijui kama maelezo yana uhusiano)
Moto ni hatari sana kwa kupikia ndani...pole sana shemeji jakitoo
Tutaoje na hali hiiWahi sentroooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kuoa si kama......kusema kila mtu anayo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hamira nifutue, utavimba na kunenepa sehemu zote mpaka zile anazopenda Andjul[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahaa itakua maana nina dozi ya uji wa hamira niwe bonge zaidi
Ini za hausiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 592990
Sup, Likers! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
Pambana tuTutaoje na hali hii
Hahahaha, hashua za kwa sokota[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nina hamu na jibapa la Tmk.Niongee na moudgulf ili tukazinyanyase hashua jumapili?
Umeadimika leoView attachment 592990
Sup, Likers! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
Kwa sasa una notification ngapi kwa siku?Bila huu uzi ningekua na notification s 20 per week
😳 😳Wee mzee una maneno ya makwazo sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,misamaki inabushisha?
Una maanisha maandamano ya kudai haki ya "usawa wa umri"?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wazee wanawaacha bibi zetu nyumbani, wanawakimbilia mabinti. Tutuaanzisha movement soon
Umeadimika leo
Ini za hausiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzima kabisa sijui weweKwa ajili ya hawa Walugaluga wa humu, andjul na SYB! Wananipiga vita sana humu, na mimi nasema hivi, haondoki mtu hapa! Hujambo lakini, carb! [emoji23][emoji23][emoji23]
Eeee!!! Nshalikoroga... Nilihisi tu[emoji19] [emoji19]Mmmhh!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kazi ni kwakoUsijali.Tafuta hela maana gharama zitakuwa upande wako.Sichunwi hovyo, nikugharamie kwa maslahi gani?
Wala usijali mguno wangu,me nilikuwa napita tu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Eeee!!! Nshalikoroga... Nilihisi tu[emoji19] [emoji19]
Haya,usiku mwema wakuu.Samahanini kwa yote