Carba kakimbilia porini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha, hashua za kwa sokota[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Si ya kweli hayo, font za mwandiko wako zimenionyesha ukali wa sauti yako[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mwee ungejua nina besi kali kwaya sauti ya nne
Mzima kabisa sijui wewe
Pole na karibuMimi buheri wa afya tele, pilikapilika tu ndio nyingi!
Pole na karibu
Nitafanyaje sasa na hela naitaka[emoji22][emoji22]Carba kakimbilia porini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mama ni yule aliyekuzaa, mdogo wake na dadake, waliobaki ni haki yako kusifia ukubwa wa makalio yao[emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ile shikamoo yako si ilimaanisha eee? Usiwasifie kwa uzuri mama zako wadogo..."maandiko yamesema,sio mimi"
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wala sikatai,nipo tayari kugharamiwa...
Huwezi jua,labda itakuwa ni hela ya mdogo wangu?
Yaani wewe[emoji23][emoji23]Carba mama mwenye tv ya chogo upoo