Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa ajili ya hawa Walugaluga wa humu, andjul na SYB! Wananipiga vita sana humu, na mimi nasema hivi, haondoki mtu hapa! Hujambo lakini, carb! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee! Walugaluga? Zamani kulikuwa na afande anaitwa mlugaluga,akiwepo uwanja wa taifa bora urudi nyumbani kama ulitegemea kuruka ukuta
Ina maana sisi ni wanoko kiasi hicho?
Andaeitini tengua kauli hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…