Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Wapenzi, nawapenda ila mwili wakataa tuombeane uzima...kesho!!!!
Hivi mnadaiana nini vile na Cole anajua hilo deniLeo jioni ulete naona ubusy kwako dogo.
Safi sana. Usisahau na pombe ya kutosha. Good news indeed kwa sababu kila mtu alikuwa na wasiwasi.Karibuni sana. Kwakuwa nyie hamjuii kunywa supu naomba mje wengi nina mbuzi 6 wa supu siku ya kuchukua mahari
Hahahaha!!! Jiandae....sooon.......Jamani Uniq anatafutwa humu. Kwa ye yote aliyemuona atoe taarifa kwa Baby S.
Tumemaliza kuongea mambo ya mahari tu tayari keshasepa. Mhhhh !!!
Siku zote ipo hivyo.zamani ilikuwa nataka stakiNimeaga ila sijui kwa nini siondoki...
Babe S alikuw Jikoni bwana. Ila nimemsikiaMkeo anakutafuta. Kakuita karibu mara tano kimyaaaa
na kweli aiseeHao walikuwa wanatamaniana muda mrefu tu[emoji38]
Nimeiona kampeni yake hapo nyuma,msukuma kawa mzuri kuliko mchaga? Maajabu hayaishi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Andjul. Mzee Ruta kakutumia salamu ila kazificha kwenye SPOILER....
Eti ni kutoka Tukuyu laivu !!!
santeee kwa kufikisha ujumbe...Mkeo anakutafuta. Kakuita karibu mara tano kimyaaaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] chabo siyo mchezo
Asante Yego...GoodmorningTunakupenda pia, mpenzi! Uwe na usiku mwema na njozi njema! [emoji23][emoji23][emoji23]
Yes Mama unasemajeUniq.....
V yuko poa kabisaSafi tu habari ya wewe
V hajambo
Sorry nilikuwa nasinzia si unajua uchovu wa safariUniq.......