Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Acha tuu imsumbue kwakweli
Mambo vipi mkuu niaje potiKwa ajili ya hawa Walugaluga wa humu, andjul na SYB! Wananipiga vita sana humu, na mimi nasema hivi, haondoki mtu hapa! Hujambo lakini, carb! [emoji23][emoji23][emoji23]
MhhhhhhhhMama ni yule aliyekuzaa, mdogo wake na dadake, waliobaki ni haki yako kusifia ukubwa wa makalio yao[emoji3] [emoji3]
Uniq niajeHodi humu ndani. Hope wote mpo poa. Salamu kwenu wote
Mambo vipi mkuu niaje poti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Carba mama mwenye tv ya chogo upoo
Jana na leoMzee wa Liver
Fake pastor wa kikerewe[emoji23]Hahaa... Katrina haikumuacha G W salama! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu Mkuu
Hahahahaha jamaa alikuwa na roho chafu maana sio mbaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee! Walugaluga? Zamani kulikuwa na afande anaitwa mlugaluga,akiwepo uwanja wa taifa bora urudi nyumbani kama ulitegemea kuruka ukuta
Ina maana sisi ni wanoko kiasi hicho?
Andaeitini tengua kauli hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yupo kk sukariNaona mzee Jembekillo anaonekana kwenye nyuzi nyingine hapa haonekani. Wapi KK
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona umekuja na mashairi yako ya zamani. Mkuu kuwa makini
Poa mkuuZa jioni
Nzuri mkuuZa saa hizi
Na ni uniq mwenzio ujue?!!!!Dogo naona anatafuta kuishia alipoishia Ho Chi Minh