mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaNimeaga ila sijui kwa nini siondoki...
Even me miss u sanaKuna watu sijawaona siku nyingi humu....
[emoji4][emoji4][emoji7][emoji7]Love sio Sana but tonight I am all yours as always.
Kwa mfano...Kuna watu sijawaona siku nyingi humu....
Yego yego yego[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunakupenda pia, mpenzi! Uwe na usiku mwema na njozi njema! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ulale salamaWapendwa usiku mwema. Uchovu wa kutosha.
Mwanamke wa shoka CarbamazepineUMENIKAMATA
Anasema GeJo na SammyluvKwa mfano...
Yupo my QueenHivi ISIS yupogo!? Mkimuona mpeni salam zangu
CarbaUlale salama
Ila usirudie kuzamia tena
HeeehGoli la pili la MBAO FC..
Linaongeza nguvu za kiume,
Linaondoa mapunye,
linamuita alie mbali,
linaondoa mkosi,
linaongeza bahati,
linarudisha wapenzi walioachana,
Lina-balance homoni,
Lina-solve equation,
Linaondoa harara,
Linaongeza vitamin,
Linakulipia riba kwenye vikoba/saccos
Linaondoa stress,
Linapunguza mafuta mwilini,
Lina kurushia kifurushi kama simu yako inadaiwa,
Linaondoa fujo mitandaoni,
Pia linaondoa kilomolomo mitaani[emoji12]
HahahahahaNimeiona kampeni yake hapo nyuma,msukuma kawa mzuri kuliko mchaga? Maajabu hayaishi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukiolewa unahama na kabilaMmachame kawa msukuma[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Laki yu!!Mwanamke wa shoka Carbamazepine
Unaetabasamu Mara nyingi
Unaishi na watu vyema, mchangamfu
Mzuri wa sura na kamsambwanda kadogo dogo nikapendako mimi
Kweli LUCKY ME
ChakiiCarba