Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
23:2823:05
HahahahahaKaolewa na kk
Shemeji haiwezekani kila siku iwe ni sato tu, ni lazima ubadirishe. Ndiyo maana maeneo ya huku aina yote ya samaki ni chakula halali kwetu. Haijalishi akiwa nchi kavu awe jongoo, kipepeo, balale, ngadu,Kobe nk .Akitoka bahari ni anapata jina tofauti na hivyo huliwa tuHapana shemeji ntapapambana na sato kwakweli
Kweli kabisa my love.Though no one can go back and make a brand new start, anyone can start from now and make a brand new ending.