carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kama kupenda ubuyu ni pepo acha nibaki nalo[emoji23][emoji23][emoji23]Aaaaah,nenda ukatolewe mapepo weye[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwambie kk akupeleke kisha akurudishe
Usimchekee YegomasikaYegooooo....
Siyo bure[emoji3] [emoji3] [emoji3] nahisi kuna kitu....[emoji3] [emoji3]Shikamoo unataka akunyime nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ule ukuta, hasa hasa upande wa kusini na mashariki mwa uwanja nimeurukia mara kibao. Kipindi kile kulipa kiingilio ilikuwa ni ushamba uliopitiliza[emoji3] [emoji3]Na wewe ulikuwa mmoja wapo. Vitabu vya historia ni vizuri sana! [emoji23][emoji23]
UsikoseNitarudi mida ya wanga
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]nimekukomesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingawa una asili ya ukerewe, wewe ni mutu ya pwani kabisaMkuu kilikuwa chakula changu kikuu std 2& 3