Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Mbowe na YMCA kote kote nilivuruga. lakini pamoja na undugu wetu, michezo yako sikubaliani nayo hasa unapo mfuatilia nsamaka. Ukitaka nikupe sapot kwa lolote usign mkataba kutomfuatilia nsamaka, kwamba kila utakapomuona umuheshimu kwa niaba yangu. Na pia unisaidie kwenye harakati zangu za kumuondoa tukuyu kumleta dar, ukiyakubali hayo mi nitakusaidia lolote hapa
Mwanga ulibaki pekeyako naonaMko wapi wanga
Me sitaki kuombewa kama pepo lenyewe ni ubuyuUna pepo la ubuyu, yego analimudu hilo
Nilikuwepo night shift kidogo12:27 AM
Nakula naachaje kwa mfano?Kwahiyo samaki wa maji chumvi hauli wewe?
Hii picha ifute bhana haipendezi[emoji57][emoji57]
Gudi moningiG'morning guys, I am fine japo nawamis sana.
Alhamdulillah naendelea vzr. Maumivu sasa yamepungua ila bado naendelea kupata matibabu na mazoezi ya viungo.
Nawatakia siku njema.
Nimekununia[emoji57][emoji57][emoji57]All eyes on You
Usinune kipenzi nilikua naona strength yako kila akirusha kombola unapangua. Wewe ni mwanamke wa kweli umemkomesha kisawasawaGudi moningi
Mungu aendelee kukufanyia wepesi upone kabisa
Uwe na siku njema pia
Pia niliona umekuja nitafuta mpaka kwa mabundi kule.Nimekununia[emoji57][emoji57][emoji57]
Ukanitoroka jana kuniacha pekeyangu na feki pasta[emoji57][emoji57]
[emoji23] [emoji23] jasiri aachi asili.... nipo kote kote ila nimebase kwa mzeeAsee, kabila lako la asiri hulitaki tena?