HahahahahaSasa kilamtu atambulishe mji mkuu wake wa kwangu ni mke wangu na matawi yake kimkoa ni watoto wangu watatu.
Ulimpatia huo mzigo kwa ajili ya nini?Mzee mwenzangu
Sawa na kwenda bar na mshaharaWatu wamepewa onyo kwa sababu kazi haziendi sawa sababu ya like
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Na mara nyingi wanapotengeneza silaha kali, wanalazimika kuanzisha vita ili wafanye maonyesho ya silaha zao za kiasa. Tuna visingizio vingi vya kujihami, wakati Diplomasia ya majadiliano pekee inatosha kuifanya Dunia kuwa mahali salamaUbinadamu Kazi sana