Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

a857ffc3e47dd5a6df4c30a88e311f72.jpg
Mia mia
 
Presha ama? Ndiyo ugonjwa unaotumaliza wengi. Tena hawa wenye pesa na madaraka ndo kabisaaa. Mapocho pocho daily (tena ya viwandani), vileo, ukosefu wa mazoezi na kwenda kufanyiwa check up ni tatizo.

Yule tabibu mkuu na Akamguse na mkono wake wa huruma na uponyaji. Amen !!!
 
Back
Top Bottom