Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ha wa yuu Yego..Hizi fitina zako ni hatari mkuu! Mtu najitahidi kueneza upako lakini wewe unatia fitna tu, Duu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Una busara na hekima sana. Sema tu ukianza kufukuzia mazizi ya watu na kujipachika uchungaji feki, basi hekima na busara zote hizoo zinasepa.