Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Una busara na hekima sana. Sema tu ukianza kufukuzia mazizi ya watu na kujipachika uchungaji feki, basi hekima na busara zote hizoo zinasepa.

Hitimisho: Kazania hekima na busara. Potezea ubomoaji wa mazizi ya watu.

Ni ushauri wa bure tu kwa manufaa yako, uzi huu, Wakerewe wenzio, Watanzania wote na binadamu wote kwa ujumla !!!

Umeng'ata na kupulizia hapo hapo, shukrani sana mkuu, kwani wewe huwa hutoi compliments kimchezo mchezo! Ila sijui nimelogwa na mazizi ya watu, yaani hata sijielewi! Natamani niyasambaratishe tu! Nitaweka nia ya dhati, kwa niaba ya binadamu wote kwa ujumla, kuyaweka hayo uliyonena, katika mstakabali unaokubalika! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itakuwa ni ajabu na HERI kama utayatekeleza maneno yako ya mwisho.
 
Wee mzee jiangalie sana,haujui uhusiano wangu na Cole? Nimpole carba ili iweje sasa?
Nipo hapa kumlinda asirubuniwe na nyie waharibifu,carba ni mvumilivu sana ila pia ni binadamu.Acheni kumshawishi,ipielo ikiisha (hata sijui inaisha lini Mungu wangu) Cole atarudi waendeleze libeneke... Kaa mbali na carba fo yua ouni riski...
Nakusalimu shemeji[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom