myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Binadamu tupendane
Kwani kuna watu wamegombana humu??Likes zitembee ugomvi. Hauna nafasi.
Marahaba.Nimechefukwa...Nakusalimu shemeji[emoji4][emoji4][emoji4]
Naona umechoka kuishi uraiani kijanaJakitoo huku natoa like kwaku. Huku na kwambia nakupenda...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani hujaona kama nilikimbia??halafu Cole alikuwepo bhanaNilisema mapema,utabaki nae humu,ukabisha weeee...
Ahsante Cole,upo evere wea ingawa sijui ni evere wea ya Mbeya au wapi!!!
Itakuwa ni ajabu na HERI kama utayatekeleza maneno yako ya mwisho.
Salama kabisaNjema, habari
Umesemaaaa[emoji23][emoji23]Mkuu sio mimi,nilikuwa namtahadharisha kwa Yego,mimi mbona ni nyuki wa kwenye pumba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
NdioKwahiyo unachagua eeh,
Mrejesho puliziiiiToka nimeanza kuiangalia,rangi inafifia,siitambui kwa kweli...Hasa pale kati ya tairi na tairi... Ngoja nivue miwani ya macho niangalie vizuri