Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
[emoji375] [emoji375] [emoji375]Kabisaa
Huyu mkerewe huyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji134] [emoji134] [emoji134] mwaka? Yego wewe ni muuaji,kuna zizi litabaki salama kweli?
We mi Nakupenda wewe Tu[emoji23][emoji23][emoji23]inaelekea unapenda fiesta lol
Umeanza kuwa upande wa jirani yule.Weee!sitaki kuuziwa kesi twende wote la sivyo naenda kuharibu[emoji23][emoji23][emoji23]tena nitamuita na kijana yule
Walevi sanaMashabiki wa Liverpool na Manchester United wameambiwa kwamba kutakuwa na maafisa wengi wa polisi mjini Moscow wiki ijayo.
Klabu hizo za premia zote zina mechi za klabu bingwa Ulaya katika mji mkuu wa Urusi.
Takriban mashabiki 2,000 watasafiri kuelekea kaskasini magharibi ambapo Liverpool itacheza dhidi ya Spartac Moscow siku ya Jumanne na United ikikabiliana na CSKA Moscow siku ya Jumatano.