Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyati jike hubeba mimba baada ya Miaka mitano toka alipozaliwa na mimba huchukua Miezi 11 mpaka kuzaa na mara nyingi huzaa ndama mmoja kila baada ya miaka miwili katika uzazi unaoweza kutokea wakati wowote wa mwaka hasa wakati wa mvua ambapo majani huwa ni mengi.
 
Baada ya kuzaliwa ndama hulambwa na mama yake hivyo kujijengea uhusiano wa muda mrefu.Ndama jike hukaa katika uangalizi wa mama kwa muda mrefu kuliko madume ambayo hufukuzwa baada ya miaka mnne.
Nchini Tanzania Nyati hupatikana kwenye Mapori mengi ya akiba na Hifadhi za Taifa.
Kuendelea kuwepo kwa Nyati na wanyama wengine kwenye hifadhi zetu pamoja na Mapori ya Akiba kunategemea utumiaji endelevu wa mazingira yetu.
 
Faru kwa kiingereza anafahamika kama Rhino na kiswahili ni Faru na sio kifaru kama wengi wanavyomwita. Mnyama huyu anapatikana katika order inayojulikana kama PERISSODACTYLA na familia yake ni RHINOCEROTIDAE na jina lake la kisayansi ni DICEROUS BICORNIS kwa black rhino na White rhino jina lake la kisayansi anajulikana kama CERATOTHERIUM SIMUM.
 
Faru ni miongoni mwa wanyama ambao ni BIG FIVE kwa Africa, wengine ni chui, simba, mbogo na tembo. Kuna takribani aina tano za faru duniani na Africa tuna aina mbili za faru ambazo ni WHITE RHINO na BLACK RHINO na aina nyingine tatu silizobaki zinapatikana barani Asia, na kwa Tanzania sisi tuna aina moja tu ya faru ambayo ni Black rhino ingawa pia kuna white rhino wanaopatikana mkomazi ambayo ni introduced species waliochukuliwa kutoka South Africa.
 
Faru pia ni wanyama ambao wapo hatarini kutoweka duniani kutokana na kuwindwa sana na majangili kutokana na pembe zao ambazo zina thamani kubwa barani Asia na pembe hizi hutumika kutengenezea dagger pamoja na dawa maarufu ambayo hutumiwa na akina Baba kuleta heshima nyumbani (VIAGRA) ambayo ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume na wanaamini hivyo kutokana na huyu mnyama FARU kutumia mda mwingi wakati wa kujamiana ambapo anaweza kukaa mgongoni kwa jike kwa zaidi ya dakika 40.
 
Kutokana na kuwa na nguvu za kujamiana kwa mda mrefu watu wakafikiri kuwa nguvu zake zinatoka katika pembe kitu ambacho kimethibitishwa na wanasayansi kwamba si kweli kuwa pembe zake ndizo zimamsaidia kustahimili mda mrefu wakati wa kujamiana. Kwa kawaida faru ni wanyama ambayo huishi maisha ya mmoja mmoja (Solitary ) na dume na jike hukutana tu katika msimu wao wa ujamianaji ambapo kipindi hicho hutafutana kwa njia ya harufu ambayo hutolewa na jike pale anapokuwa anamuhitaji dume.
 
7694cbb914e97205c1ca48c676917fae.jpg
Haya ni matusi ya rejareja kwakweli khaa![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anabeba ujauzito wake kwa kipindi cha miezi 18 na huwa anazaa mtoto mmoja ( Mapacha huwa ni nadra). Faru pia ni miongoni mwa wanyama wakubwa wanaopatikana nchi kavu ambapo anaweza kufikia hadi uzito wa 2000-2300KG kwa white rhino na 800-1500KG kwa black rhino.
 
Na tofauti kati ya Black rhino na White rhino ni kuwa ana mdomo mweusi uliochongoka ambao unamwezesha kula majani ya juu katika matawi ya mti (Browser) na white rhino yeye anakuwa na mdomo mpana mweupe kwa ndani ambao unamwezesha kula nyasi(Grazers), tofauti nyingine ni kwamba White rhino akiwa na mtoto huwa anatabia ya kumtanguliza mtoto mbele Kama wafanyavyo wamama wa kizungu ambao humbeba mtoto kwa mbele na kwa upande wa Black rhino yeye huwa mtoto anakaa nyuma ya mama kama wafanyavyo wamama wa kiafrica ambao huwabeba watoto wao mgongoni.
 
Mashabiki wa Liverpool na Manchester United wameambiwa kwamba kutakuwa na maafisa wengi wa polisi mjini Moscow wiki ijayo.
Klabu hizo za premia zote zina mechi za klabu bingwa Ulaya katika mji mkuu wa Urusi.
Takriban mashabiki 2,000 watasafiri kuelekea kaskasini magharibi ambapo Liverpool itacheza dhidi ya Spartac Moscow siku ya Jumanne na United ikikabiliana na CSKA Moscow siku ya Jumatano.
 
United imewaambia mashabiki wake kutovaa rangi za klabu hiyo ama hata kutembea Moscow wakiwa peke yao.
Liverpool inasema kuwa mamlaka ya Urusi inajua kwamba vilabu hivyo viwili viko mjini Moscow wakati mmoja kwa hivyo maafisa wengi wa polisi wanatarajiwa mahali popote ambapo mashabiki wa Liverpool na Manchester United watakongamana. Ikiwemo katika maeneo ya malazi.
Mashabiki sugu wa Urusi waliwashambulia wenzao wa Uingereza mjini Marseille katika kombe la bara Ulaya 2016.
 
Back
Top Bottom