Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanyama hawa wapo wengi sana nasikia ukiweka utaratibu mzuri wa kutembelea mbuga zetu bila kukata tamaa, kuna siku unaweza pewa nyongeza mbwa mwitu au fisi maana tunao wengi sana hapa Bongo, pitia mbuga zetu ukajionee timbili la wababe hawa wa mji.
 
MFAHAMU NYATI
Nyati ni miongoni mwa wanyama watano wakubwa zaidi wanaopatikana hapa Afrika.Nimnyama asietabirika kwani anaweza kuwa muoga ghafla akabadilika kuwa mkali sana wakati anapokua hatarini au kujeruhiwa.
Nyati au Mbogo wanapatikana maeneo ya Savana ni wakubwa na maumbo yenye uzito mkubwa.Wanaumbo linalo fanana na ng’ombe pia wanazo pembe zenye rangi yenye kuwafanya waonekane wenye nguvu na kutisha.
 
Nyati wakubwa huwa na rangi ya kiudongo iliyokolezwa na weusi,Nyati wadogo huwa na rangi ya kiudongo iliyokolezwa na wekundu.
Majike na madume huwa na pembe nzito zenye pingili ambazo huota juu ya kichwa kwa kupinda kuelekea chini halafu juu.
 
Pembe hizi hutumika kama kama siraha dhidi ya maadui zao,pia vile vile madume huzitumia pembe kupigania umiliki wa makundi na majike.
Nyati hupendelea kuishi maeneo ya misitu iliyo pembeni mwa mito ambako maji hupatikana kwa wingi hii ni kutokana na mahitaji yao ya chakula na maji kwa wingi kwa ajili ya miili yao kuwa mikubwa.
 
e34cc538b8badaea4c0cb02c4d3b8c0b.jpg
Tetetete
 
Back
Top Bottom