myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Dakika ya 73 laliga Bar 3 Gir 0
Hewala si utumwa...Mmh!!haya bhana,nitafanyaje sasa acha nikubali tu
Mwaka wao huuDakika ya 73 laliga Bar 3 Gir 0
[emoji106][emoji106]Mwaka wao huu
Ohooooo!!@SHIMBA YA BUYENZE fanya haraka mambo yataharibika huku[emoji23][emoji23]Pole! Yaani hata ule wa kukata huna? [emoji23][emoji23]
Kwangu mimi wewe ni zaidi ya Baraka, jiachie Tu kipenzi hii nchi hiitwayo Cole Williams ni yako Katiba unatunga wewe fanya utakalo mi nafanya bila hata kuuliza ulizaMmh!!haya bhana,nitafanyaje sasa acha nikubali tu
Ohooooo!!@SHIMBA YA BUYENZE fanya haraka mambo yataharibika huku[emoji23][emoji23]
Nshafika shemeji. Nimekuwa na pilika pilika nyingi leo. 4:19 PM ndo kidogo napumua sasa. Mnaendeleaje humu? Haka kachungaji feki bado kanaleta fyoko fyoko?Ohooooo!!@SHIMBA YA BUYENZE fanya haraka mambo yataharibika huku[emoji23][emoji23]
Naona kama nchi Fulani hivi
We nipe kichwa tu nifanye sifa na vile sipendi ipielo[emoji23][emoji23][emoji23]utaomba pooKwangu mimi wewe ni zaidi ya Baraka, jiachie Tu kipenzi hii nchi hiitwayo Cole Williams ni yako Katiba unatunga wewe fanya utakalo mi nafanya bila hata kuuliza uliza
COLEWORLDLOVESYOU