Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-09-23-23-13-12.png
 
Dooh!pole sana
Usiseme kwa sauti feki pasta akasikia maana ataanza kuja na vimaua hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Maua kameshaacha. Sasa ni mvinyo mwekundu. Na si ajabu kakasingizia kuwa kanawanywesha damu ya mkombozi. Niliona hata wewe shemeji kidogo kakupate hasa ulipokaambia eti huwa huchezi na vitu vizuri. Ni shida !!!
 
*Mtoto alikua akibishana na baba yake akisema 1+1=11, baba akamwangalia kisha akasema vizuri sana,akamtuma kununua mayai mawili,mtoto akaenda kununua,aliporudi akamwambia nipe moja lingne mpe kaka yako,wakaendelea kula,mtoto akauliza Mimi nakula nini? Baba akamjibu kula hayo tisa yaliobaki mjinga wewe*[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom