Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1506199035976.jpg
 
Yaani leo alitaka kunikamata sehemu mbaya acha kabisa[emoji23][emoji23]
Afadhali kama ulikashtukia. Siyo ka kuchezea haka. Nimekaona mahali kanajitetea eti kunywesha waumini mvinyo mwekundu wenye 60% alcohol content siyo tatizo kwa sababu ndicho kilichofanyika kule Cana ya Galilaya. Kumbe uwongo mtupu kanapindisha maandiko ili katimize haja za kimwili. Jitengeni nako !!!
 
Back
Top Bottom