Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nina kipaji cha kugundua smart people hata wajaribu kujificha vipi. You are very smart! Ukiweza kukitawala hicho kichwa kidogo wallahi utafika mbali sana. Ila ukiendelea kukiendekeza hasa kwa wake za watu muda si mrefu tutakuona kwenye TV. Na hapo ndipo kitakuwa kilio na kusaga meno !!!

Hahaaa, sawa bhana! Subiri tu ka hurricane Maria kanatokota kuelekea tena huko East Coast! Jiandae.
 
Screenshot_2017-09-23-23-33-27.png
 
Back
Top Bottom