Sweetheart jamani [emoji120] [emoji120] [emoji120]Kwa Jakitoo niko tayari kufa shemeji. Malkia wangu jamani. Ukiachilia mbali urembo wa mwili, upole wake, utu wake, ubinadamu wake, tabia zake njema....
Nina kipaji cha kugundua smart people hata wajaribu kujificha vipi. You are very smart! Ukiweza kukitawala hicho kichwa kidogo wallahi utafika mbali sana. Ila ukiendelea kukiendekeza hasa kwa wake za watu muda si mrefu tutakuona kwenye TV. Na hapo ndipo kitakuwa kilio na kusaga meno !!!
Binti walimhoji akasema ilibakia kidogo "achanike". Ilikuwa lazima wafukuzwe kazi au wajiuzulu.
Asante sana shemeji. Nimekuja naona nako kamekimbia. Safi sana !!!Ndio mana nilikuita shem,pambana
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani wewe,unamuombea na hurricane kabisa??Hahaaa, sawa bhana! Subiri tu ka hurricane Maria kanatokota kuelekea tena huko East Coast! Jiandae.