mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mzee wa nambaUkiburudishwa na commentator wa mchezo wa soka Rutashubanyuma
Mzee wa nambaUkiburudishwa na commentator wa mchezo wa soka Rutashubanyuma
Mzee wa jibapaSambamba na mcheshi kichwa kichafu na mkongwe Andjul
Kweli kabisa mkuuNi nyuzi kadhaa ndani ya uzi mmoja
Good coupleNi uzi uliowaunganisha Cole na carbamazepine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wa maparachichiNi uzi uliopelekea cha ujanja Andjul ajipagie mwanamwali mrembo wa kisukuma aitwaye nsamaka
AMUN RABila uzi huu kusingeonekana penzi zito baina SHIMBA WA BUYENZE na mtoto mkali toka kanda kaskazini jakitoo
AMUN RANi Uzi uliowakutanisha malkia ISIS na mtoto wa mjini mzee wa liver
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni uzi ambao ho chi minh na rafiki yake kipenzi kichwa kichafu wamegeuza kijiwe cha bao, karata, dhumna na drafti
Hatari ya niniHatarii
Sijilalamikii mimi niko fiti ila naona posts zenu no likes ninajaribu kufuta mashimoDuuh hadi wewe unalalamika kheee milikes yote hio uliyonayo duhh
MstaafuMzee wa namba
Beki hakuna mkuuHakuna kukata tamaa mzee wa liver
Kweli kabisa mkuuNa bila uzi huu kuna watu tusingekuaga na like hata 1
Duuh uzi huu uishi maisha marefu