mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Habari za jioni Geita
Hakuna rais mpuuzi kama huyu. Kawaita wachezaji weusi wa American football "sons of bitches". League nzima zaidi ya nusu wachezaji wote ni weusi. Ubaguzi wa wazi wazi!Trump mlopokaji sana