Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nasinzia hapa mkuu..ukiona kimya jua usingizi ...alfajiri kazini.Ngoja nifuatulie. Ni mwanamke wa aina yake...
Leo hulali au kesho huendi kazini?
Basi Ulale salama. Na kesho ukawe na siku njema.Nasinzia hapa mkuu..ukiona kimya jua usingizi ...alfajiri kazini.
Amani nawe mkuuBasi Ulale salama. Na kesho ukawe na siku njema.