Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
People will judge you no matter what, so be who you wanna be.
- [emoji743]
- [emoji743]
Watu Wasiojulikana.Unawajua waliomimina risasi?
Angel. Amepachikwa jina la Kiongozi wa Dunia. Kwa kawaida cheo hiki hubebwa na rais wa Marekani. Kwa vile rais wa Marekani ni hovyo hovyo tu, Markel sasa ndiye anaonekana kubeba cheo hicho !!!Markel
Kweli...amerudi tena kwa kishindoAngel. Amepachikwa jina la Kiongozi wa Dunia. Kwa kawaida cheo hiki hubebwa na rais wa Marekani. Kwa vile rais wa Marekani ni hovyo hovyo tu, Markel sasa ndiye anaonekana kubeba cheo hicho !!!
Haina neno Myoya. Nimeshaacha. Huwa na-ignore isipokuwa mara moja moja. Na nikitaka kuporomoshewa matusi huwa naenda mwenyewe jukwaa la siasa kutest zali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siasa zitaharibu huku..tumemshauri apeleke hoja jukwaa la siasa
[emoji16][emoji16][emoji16]Haina neno Myoya. Nimeshaacha. Huwa na-ignore isipokuwa mara moja moja. Na nikitaka kuporomoshewa matusi huwa naenda mwenyewe jukwaa la siasa kutest zali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kulikuwa na wasiwasi kuwa pengine ishu ya kuruhusu wakimbizi ingemletea matatizo. Ni vyema kuwa ameshinda.Kweli...amerudi tena kwa kishindo
Mambo yaliyo kwenye uchunguzi sio ya kujadili..bora tujadili siasa za ulaya....Haina neno Myoya. Nimeshaacha. Huwa na-ignore isipokuwa mara moja moja. Na nikitaka kuporomoshewa matusi huwa naenda mwenyewe jukwaa la siasa kutest zali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ana 34% mpaka sasa..ataunda serikaliKulikuwa na wasiwasi kuwa pengine ishu ya kuruhusu wakimbizi ingemletea matatizo. Ni vyema kuwa ameshinda.
Manazi wapya nao wamefanikiwa kuingia serikalini?
Ngoja nifuatulie. Ni mwanamke wa aina yake...Ana 34% mpaka sasa..ataunda serikali