myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes
Siasa marufuku mpaka 2020.Risasi watakua wamejimiminia wao kwa wao who knows. Humu hatuhitaji siasa bana
Wapi huko mkuuNilivyoingia sukari ilikuwa inauzwa elfu 5,000
Mkuu kuna jukwaa la siasa kule uta Shea hizi habari...Siasa marufuku mpaka 2020.
Wote majiganyanza tu. Na mwanasiasa ni mwanasiasa tu. Anytime anaweza kupiga gia ya angani. Leo tukio la furaha kesho tukio la huzuni (and vice versa). Always remember that my friend [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora mwanasiasa anayetuma matukio yanayoleta furaha kutafuta kiki ya kisiasa kuliko yule anayetumia matukio ya kuleta simanzi kutafuta kiki.
TrueWote majiganyanza tu. Na mwanasiasa ni mwanasiasa tu. Anytime anaweza kupiga gia ya angani. Leo tukio la furaha kesho tukio la huzuni (and vice versa). Always remember that my friend [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yawezekana. Dogo ana kiherehere cha kugombea urais 2020. Isije ikawa wenye SACCOS yao wameamua kumnyamazisha. May be he was about to be Wangwelized. Who knows [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Risasi watakua wamejimiminia wao kwa wao who knows. Humu hatuhitaji siasa bana