Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hizi kemikali mara nyingi ni kwa wale wanaotumia mboga za kuagiza,yaan order mpaka mlangoni. Huku kwa akina sie mboga zetu zinamwagiliwa kwa maji ya mitaron ambayo wenye vyoo visivyo na adabu wanatirirshia maji humo humo. Vitamin iliyoje hahahaah
Angalizo muhimu: Hakikisha hizo mboga zimelimwa bila matumizi ya makemikali makali. Vinginevyo utakula makemikali laivu wala hayajachemshwa wala nini...
 
e50009bbaa71392d0a0d53e0a5f1f103.jpg
 
Pia ndani ya nyayo kuna miishilio ya misuli iliyojitanda kama tambaa gumu na ikijishikilia mwishoni kama kamba ngumu zinazojishikiza vidoleni.

Nyayo pia kwa ndani huwa na misuli ambayo nayo ndio inasaidia kuweza kufanya mambo mbalimbali kama kukunja nyayo hizo.
 
Back
Top Bottom