Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kabisa
Likes za usiku tamu...
Likes za usiku tamu...
Aisee wapi huko hawatambui urembo wakoBora huku naitwa mrembo opsss thank you
Kabisa mkuu..Old school. Hakuna cha mbwembwe, special effects wala nini bali ni hard core acting. He was good !!!
Aisee wapi huko hawatambui urembo wako
COLEWORLDLOVESYOU
Pole Sana tatizo hawajui mengi kuhusu wewe hata upole wako hawautambuiKulee jukwaa la pili la mapovu,naitwa kaka mara chawa hahaha
Pole Sana tatizo hawajui mengi kuhusu wewe hata upole wako hawautambui
COLEWORLDLOVESYOU
Angalizo muhimu: Hakikisha hizo mboga zimelimwa bila matumizi ya makemikali makali. Vinginevyo utakula makemikali laivu wala hayajachemshwa wala nini...JUISI YA MBOGAMBOGA: Juisi hii ina mchanganyiko wa mbogamboga kam vile karoti, nyanya na matango. Maandalizi yake ni kam juisi nyingine. Anza kwa kuosha kisha kumenya na kukatakata vipande. Saga mchanganyiko huo kwenye blenda ili upate juisi uliyoikusudia. Unaweza kuweka kwenye friji ili ipate ubaridi kidogo.
Hapana...nasoma kwa makiniHahaha kwan
kuna tatizo myoya?