Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
FAIDA YA JUISI YA UKWAJU.***********************1 Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)2 Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"3 Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo4 Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni5 Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa6 Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders)7