BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Pole sana nawe. Cha kushangaza hajawahi kutokea mtu aniulize hata ndugu wa karibu mbona hutumii marehemu?
Pole sana mkuu.... Mwenyewe inanipa shida sana sometimes nafikiria labda wameenda nchi ya mbali huko watarudi lakini miaka inazidi kuyoyoma[emoji22] [emoji55]