Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Indeed [emoji55]
Kweli..Inanipa shida sana mie watu wangu wa karibu ambao hawako tena duniani kuwaita marehemu pamoja na kuwa huo ndiyo ukweli halisi. Kwenye akili na moyo wangu hawa bado wataendelea kuishi.