Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-09-24-20-30-17.png
 
Kweli kabisa,ishanitokea hii hasa ukimkuta dokta kijana
Ni kweli aisee. Miaka ile kulikuwa na Dr mmoja tulikuwa tumemzoea. Ukienda kwake ukasema tu nakohoa, koo linawasha kabla hata hujaendelea tayari keshakuandikia dawa ya kikohozi. Tatizo dawa yenyewe ilikuwa ya maji nyekundu halafu tamu balaa. Basi mtu unapata dawa kwenye kichupa halafu unaitandika yote kabla hata hujafika home. Dawa yenyewe ilikuwa inalaza na wakati mwingine unashindwa hata kufika nyumbani inabidi utafute mahali ulale. Sijui tulikuwa addicted ikawa kila weekend group la watu hata 10 tunakwenda kutafuta dirisha alipo huyo dokta basi wote tunapata dozi ile ile ya kukohoa. Baadaye akaja akafariki na uraibu wetu wa ile dawa ya kikohozi nao ukakoma. Utoto una mambo. Sasa hiyo dawa ingeweza hata kutusababishia liver damage sijui ingekuwaje....
 
Back
Top Bottom