Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

af280ed01ee8091210436a35cb2dca9a.jpg
 
Huku salama mkuu,
Hofu yangu ni kuhusu kontena lako la miswaki iliyotumika.
Wakati unalipakia huko Sweden ulijaribu kufanya utafiti wa nani watakuwa wateja wako?
Soko ni kubwa sana
Nilisikia tunapenda sana mitumba
sasa mimi ikanibidi nifikirie mitumba
ambayo bado haijaanza nchini.

Nimeamua kuja kuchukua miswaki hii naimani nitapata faida.
Au nimekurupuka katika hili
Au ndio fitina zako.

Nitakupa miswaki 10 kwa ni mzee wenzangu
 
Back
Top Bottom