myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
21:03
Kweli kabisa,ishanitokea hii hasa ukimkuta dokta kijanaMadaktari wengine hata hujamaliza kumueleza shida zako tayari keshaandika dawa.
Hii inawezekana tu kama huna hela na unamtegemea mkeo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujinga ni kumfumania mke wako, halafu kupokea kipondo
Kisha wewe huyo huyo kuomba msamaha kwa mwanamke wako
COLEWORLDLOVESYOU
Hata akiwa na hela kiasi gani...tupa kuleHii inawezekana tu kama huna hela na unamtegemea mkeo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema bro?