Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Pole sana mkuu.... Mwenyewe inanipa shida sana sometimes nafikiria labda wameenda nchi ya mbali huko watarudi lakini miaka inazidi kuyoyoma[emoji22] [emoji55]Inanipa shida sana mie watu wangu wa karibu ambao hawako tena duniani kuwaita marehemu pamoja na kuwa huo ndiyo ukweli halisi. Kwenye akili na moyo wangu hawa bado wataendelea kuishi.