Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

JUISI YA MBOGAMBOGA: Juisi hii ina mchanganyiko wa mbogamboga kam vile karoti, nyanya na matango. Maandalizi yake ni kam juisi nyingine. Anza kwa kuosha kisha kumenya na kukatakata vipande. Saga mchanganyiko huo kwenye blenda ili upate juisi uliyoikusudia. Unaweza kuweka kwenye friji ili ipate ubaridi kidogo.
Mrembo Numbisa

COLEWORLDLOVESYOU
 
SCRUB

kabla ya kwenda kulala scrub miguu yako kwa kufanya hivi

chemsha maji yawe ya uvugu vugu
mimina kwenye beseni
weka sabuni katika maji yako
na tumbukiza miguu kisha uanze kusugua kama na jiwe au brush
ukimaliza kausha miguu na kitambaa kikavu na upake mafuta kisha vaa socks ulale nazo usiku mzima
fanya hivi kila siku mpaka magaga yatakapo isha
 
MAJI YA LIMAO

kata limao vipande viwili
chukua kimoja na uanze ku sugua katika magaga yako hakikisha maji ya limao yana ingia au kupita katika magaga yako
fanya hivi kwa muda usio pungua dakika tano
kisha sugua magaga yako kwa brush/jiwe
na uoshe miguu yako
 
Back
Top Bottom