Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
We uwezi kanyagwa mgongo kama wale?Kweli mengine ya kutisha
COLEWORLDLOVESYOU
We uwezi kanyagwa mgongo kama wale?Kweli mengine ya kutisha
Bora mwanasiasa anayetuma matukio yanayoleta furaha kutafuta kiki ya kisiasa kuliko yule anayetumia matukio ya kuleta simanzi kutafuta kiki.
Duuh haiwezekaniWe uwezi kanyagwa mgongo kama wale?
COLEWORLDLOVESYOU
[emoji106][emoji106][emoji106]Duuh haiwezekani
Hao ni tatizo.Na sasa wameenda mbali mpaka kumimina risas.Mmh mbona wote wale wale. Misiba mingapi hao wanaotumia matukio ya simanzi kutafuta kiki waliyatumia mkaona sawa tu
Siasa ziende jukwaa lake..Watu wanaoongelea siasa muda wote huwa wananishangaza
Risasi watakua wamejimiminia wao kwa wao who knows. Humu hatuhitaji siasa banaHao ni tatizo.Na sasa wameenda mbali mpaka kumimina risas.
Weka vitu vya burudani..siasa zina ukakasi eneo hiliHao ni tatizo.Na sasa wameenda mbali mpaka kumimina risas.
Mwambie huyoWeka vitu vya burudani..siasa zina ukakasi eneo hili