Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Emperor na king penguin huwa hawatengenezi viota kwa ajili ya kutagia mayai,Ila jike hutaga yai moja tu,na kazi ya kulalia hufanya Dume mpaka kutotoa,Dume hulifunika yai kwa ngozi yake ya chinikiitwao Brood pouch,hulalia kati ya wiki 8 mpaka 10
 
Fairy penguin ndio Jamii ndogo ya penguine kuliko zote kwa uzito na umbo,Ana uzito wa gramu 0.90 ambayo ni sawa na paund 2 .
Ila Emperor penguin ndio jamii ya penguin wakubwa kiuzito na mwili kuliko wote.wana uzito wa 40.9 amabyo ni sawa na pound 90.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…