Kama wewe utakuwa ni
mfuatiliaji mzuri wa mieleka ,Jina Undertaker Halitakuwa geni masikioni mwako,kwani mmoja kati ya wachezaji tishio katika industry ya Mieleka ,(wrestling)
Kutokana na ujio wake Ulingoni mara Taa huzimika ghafla, zinapowashwa mara mtu yuko ndani ya Ulingo simchezo,sifa yake kubwa Huwa si muongeaji bali ni mtu wa Vitendo,amekuwa akifanya vizuri karibu Mapambano yake yote.
Undertaker jina lake halisi ni Mark Wiliam Calaway.kazaliwa 24 march 1965 Houston ,Texas Inchini Marekani.
Wazazi wake Baba ni bwana Frank Compton Calaway,na mama ni Betty Truby Catherine.
Elimu yake ya secondary kaipatia katika shule ya secondary Waltrip High school ambapo huko alikuwa member katika timu ya mpira wa rugby(america football)na Basketball.
Kama wewe utakuwa ni
mfuatiliaji mzuri wa mieleka ,Jina Undertaker Halitakuwa geni masikioni mwako,kwani mmoja kati ya wachezaji tishio katika industry ya Mieleka ,(wrestling)
Ila alifanikiwa kugraduate 1983 na kisha kujiunga na chuo cha Angelina college,katika mji wa Lufkin texas on basketball scholarship.
Mwaka 1985 alisajiriwa kwenye chuo cha Texas Wesleyan University ndani ya mji wa Fort Worth miongoni mwa miji mikubwa katika jimbo la Texas
akichezea timu ya basketball,alikuwa mtu muhimu kwenye sport management, Alicheza nafasi ya kati kama mtu mwenye nguvu ,mrefu na mwenye uzito kamili Big man ni mtu muhimu mwenye sifa kati ya moja ya nafasi tano muhimu kwenye mchezo wa basketball toka mwaka 1985 mpaka 1986.
Ila ilipofika mwaka 1986 Undertaker aliachana na chuo na kujikita zaidi kwenye michezo ,Ukweli alipenda sana kuwa profession basketball(mchezaji basketball) huko uraya ,kabla hajamua na kubadili fikra zake na kujikita katika mchezo wa mieleka(professional wrestling) mwalimu wake wa mieleka alikuwa ni Don Jardine.